Header

Afisa Maendeleo ya Majengo

Nafasi # 4: Afisa maendeleo ya majengo- Nafasi 1.
Habari:
Community Forests Pemba inahitaji, Afisa wa Maendeleo ya Majengo ili kusaidia Jumuiya katika kazi za utengenezaji wa matufali ya udongo yenye kutumia saruji kidogo “Interlocking Compressed Stabilized Earth Block (ICSEB)”. Aidha, Afisa Majengo atatakiwa kusaidia na kutoa taaluma utengenzaji wa matufali ya bei nafuu kwa uenedelzaji wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa kutumia matufali hayo.

Sifa za muombaji:
1. Awe na Stashahada au shahada kutoka taasisi inayotambuliwa katika katika fani husika.
2.Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu katika uendelezaji wa majengeo ya bei nafuu.
3. Awe na ujuzi wa hali ya juu katika kufundisha na Mawasiliano

Majukumu:
• Kutoa mafunzo ya utumiaji wa mashine za (ICSEB) pamoja na ujenzi wa nyumba zake. mafunzo
• Kutoa mafunzo ya biashara na ujasiriamali.
• Kufuatilia ukuaji na maendeleo ya mradi
Muombaji atakaefanikiwa katika nafasi hii ni lazima kuwa na ujuzi wa mawasiliano ya kuandika na kuongea Kiswahili na Kiingereza kwa vile atafanyakazi na watu wa ndani na nje ya Nchi.
Nafasi hii itakuwa na ufanisi mara moja


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Barua ya maombi yanatakiwa yawasilishwe kwa lugha ya Kiingereza pamoja na CV ya muombaji, na nakala za vyeti vyake.

Mwisho wa kupokea maombi ni siku ya Mei saa 11:30 asubuhi. Wanawake wenye sifa watapewa kipaumbele.
Maombi yanaweza kuwasilishwa kwa mkono, kwa posta au kwa barua pepe kwenda anuani iliopo hapo chin:-
Mkurugenzi Mtendaji
Community Forests Pemba (CFP)
P.O. Box 177, Wete-Pemba
Minyenyeni – Pemba