Header

Dereva

Nafasi # 6: Dereva
Habari:
Community Forests Pemba(CFP) Inahitaji; dereva ili kusaidia katika shughuli mbali mbali za jumuiya.

Sifa:
• Awe na cheti cha ufundi wa kutengeneza magari
• Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu katika kuendesha gari
• Awe na cheti cha udereva kilichotolewa na taasisi inayotambulika.

Majukumu:
• Gari uwanja wa kiufundi na usimamizi wa wafanyakazi
• Kudumisha magari ya Jumuiya na kuyaweka katika hali nzuri
• Kufanya matengenezo ya magari pale yanapotokezea.
• Kueka kumbukumbu za masafa na utumiaji wa mafuta.
Muombaji atakaefanikiwa katika nafasi hii ni lazima kuwa na ujuzi wa mawasiliano ya kuandika na kuongea Kiswahili na kama atakuwa na uwezo wa kuongea Kiingereza atapewa umuhimu kwa vile atafanyakazi na watu wa ndani na nje ya Nchi.
Nafasi hii itakuwa na ufanisi mara moja


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Barua ya maombi yanatakiwa yawasilishwe kwa lugha ya Kiingereza pamoja na CV ya muombaji, na nakala za vyeti vyake. Mwisho wa kupokea maombi ni siku ya Mei saa 11:30 asubuhi. Wanawake wenye sifa watapewa kipaumbele.
Maombi yanaweza kuwasilishwa kwa mkono, kwa posta au kwa barua pepe kwenda anuani iliopo hapo chin:-
Mkurugenzi Mtendaji
Community Forests Pemba (CFP)
P.O. Box 177, Wete-Pemba
Minyenyeni – Pemba