Header

Maafisa Watendajl wa Vljiji III - x 10 - BUSEGA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega kuomba nafasi zifuatazo:-

1. Maafisa Watendajl wa Vljiji III - nafasi 10

Sifa
Awe na Elimu ya kidato cha IV au VI
Awe na AstashahadalCheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala au Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo cha Seri¬kali za Mitaa Hombolo Oodoma au chuo chochote kinachotam¬bulika na Serikali
Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 40

Mshahara: Ngazi ya mshahara TGS B sawa na Tshs. 345,000 kwa mwezi.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA NA WAOMBAJI WOTE WENYE SIFA NI JiAYA YAFUATAYO:
a. Maombi yote yapelekwe/yatumwe kwa; Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S,L.P.157
BUSEGA
b. Barua za maombi ziambatane na wasifu binafsi (CV) nakala ya vyeti vya Elimu, taaluma na cheti cha kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au wakili wa Serikali.
c. Asiwe aliacha, kuachishwa au kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma
d. Aambatishe picha moja aliyopiga hivi karibuni (Passport size) na iwe ya rangi
e. Walioajiriwa wapitishe barua zao kwa waajiri wao wa sasa
f. Barua zote ziandikwe kwa mkono zenye anwani ya mwombaji na namba ya simu kama ipo.
g. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 6 Mei, 2015