Header

Dereva Daraja La II ( x 8)

Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwamujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011. Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu.mengineinalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.

Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilaya nibalimbali kuleta maombi yao ya kazi.

Nafasi hizo ni Katibu Mahsusi Daraja la III - (TGS B) nafasi 220, Msaidizi wa Kumbukumbu
Daraja II - (TGS 8) nafasi 220 na Dereva Daraja II - (TGOS A) nafasi.120.

Dereva Daraja II TGOS A

Kuajiriwa wenye Cheti cha Baraza la mitihani (NACTE) Mtihani wa Kidato cha IV, Wenye Lesenidaraia la "C" ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali, wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Oaraja la II.(VETA).

Kazi za kufanya:-
Kuendesha magari ya abiria, na malori,
Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanyauchunguzi wa gari kabla na baada ya safari iIi kugundua ubovu unaohitaji matengenezo


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe 12/04/2015 saa 9:30 Alasiri.

Barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya eHmu na mafunzo.
Ufupisho wa taarifa za-mwombaji (CV).
Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibunl.
Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe·na umri kati ya miaka 18 na 44
Mwombaji aonyeshe nyuma ya bahasha nafasi/kazi anayoomba
Mwombaji aandike majina yake matatu anayotumia kwa usahthi
Waombaji wakazitoka maeneo husika na wenye sifazilizoainishwa katlka tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji. ,
Waombajiwalio katika Utumishi wa Umma wapitishe maornbl yao kwa waajiri wao.
Waombaji walioacha kati katika Uturnishi wa Umma waelez~ kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa wataki watumishi Wa Mahakama ya Tanzania. .
Mwombaji ainbaye hatazingatia maelekezo yauyotolewa hapo juu, maombi yake hayatashughulikiwa.
Maombi yote yawasilishwe nakuelekezwa kwa Watendaji.wa Mahakama wa
maeneo husika kama ilivyoonyeshwa katika jedwali hapo juu na usalll utafanyika
kwenye Mikoa husika kama ilivyoonyeshwa na anwani zao

Mtendaji wa Mahakama

Mahakama Kuu (T),

S.L.P 993
Mbeya