Katibu Mahsusi Daraja la III ( x 3)-Manyara
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwamujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011. Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu.mengineinalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.
Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilaya nibalimbali kuleta maombi yao ya kazi.
Nafasi hizo ni Katibu Mahsusi Daraja la III - (TGS B) nafasi 220, Msaidizi wa Kumbukumbu
Daraja II - (TGS 8) nafasi 220 na Dereva Daraja II - (TGOS A) nafasi.120.
Katibu Mahsusi Daraja la III ( x 3)-Manyara
Sifa za kuingilia:
Katibu Mahsusl-Daraja III-. TGS. B
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria _Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Uhazili Hatua yaTatu.
..wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili naKiingereza (Shorthand) maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochotekinachotambuliwa na Serikali na kupata chef katika pr6gramu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher. . ...
Kazi za kufanya. _
Katibu MahsuSi Daraja la atapangiwa kufanya kazi Typing pool au chini ya Katibu Mahsusi
mwingine mwenye ' cheo cha juu kumzidi kwenye ofisi ya Mkuu wasehemu au kitengo.
Kuchapa barua, taarifa-na nyaraka za kawalda .
Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanazoweza
Kushughulikiwa
Kusaidia kutunza taarifa, kumbukumbu za matukio yao, miadi, wageni, tarehe za vikao ,safari
Za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia
kazi, nakumutarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe 12/04/2015 saa 9:30 Alasiri.
Barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya eHmu na mafunzo.
Ufupisho wa taarifa za-mwombaji (CV).
Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibunl.
Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe·na umri kati ya miaka 18 na 44
Mwombaji aonyeshe nyuma ya bahasha nafasi/kazi anayoomba
Mwombaji aandike majina yake matatu anayotumia kwa usahthi
Waombaji wakazitoka maeneo husika na wenye sifazilizoainishwa katlka tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji. ,
Waombajiwalio katika Utumishi wa Umma wapitishe maornbl yao kwa waajiri wao.
Waombaji walioacha kati katika Uturnishi wa Umma waelez~ kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa wataki watumishi Wa Mahakama ya Tanzania. .
Mwombaji ainbaye hatazingatia maelekezo yauyotolewa hapo juu, maombi yake hayatashughulikiwa.
Maombi yote yawasilishwe nakuelekezwa kwa Watendaji.wa Mahakama wa
maeneo husika kama ilivyoonyeshwa katika jedwali hapo juu na usalll utafanyika
kwenye Mikoa husika kama ilivyoonyeshwa na anwani zao
Mtendaji wa Mahakama ya Mkoa wa Manyara
S.L.P 2,Manyara

Post a Comment