Header

Msaidizi wa kumbukumbu III - (x 6) - ILEJE

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kuomba nafasi zifuatazo:-

Sifa:
Awe na elimu kidato cha IV au VI
Awe mwenye cheti cha Utunzaji Kumbukumbu katika moja wapo ya fani ya Afya,Mahakama, Masjala na Ardhi
Awe amefaulu mtihani wa Higher Records Management
Mshahara: Ngazi ya mshahara TGS B sawa na Tshs 345,0001= kwa mwezi
 
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Masharti ya Jumla.-
(a) Barua za maombi ziambatane na taarifa binafsi (CV), nakala ya vyeti vya Elimu, taaluma na vyeti vya kuzaliwa, vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au wakili wa Serikali.
(b) Asiwe aliachalachishwalfukuzwa kazi kwenye utumishi wa umma
(c) Picha moja ya rangi (Passport size) kwa mawasiliano
(d) Walioajiriwa wapitishe barua zao kwa waajiri wao wa sasa.
(e) Barna zote ziandikwe kwa rrikono zenye anwani sahihi na namba za simu
(f) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17 Aprili,2015
(g) Maombi ya tumwe kwa anwani ifuatayo:-
Imetolewa na:-
MKURUGENZI MTENDAJI WA (W)
IlEJE
S.L.P 02
ILEJE

SIMU Na. 25-2570060
FAX Na. 25 -2570056