Header

Katibu Muhtasi III - ILEJE

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kuomba nafasi zifuatazo:-

2. Katibu Muhtasi III - Nafasi 1 .
Awe na elimu ya kidato cha IV au VI
Awe amehudhuria mafunzo ya Uhazili
Awe amefaulu somo la Hati mkato, Kiingereza na Kiswahili maneno 80 kwa dakika moja
Awe amehudhurua na kufaulu mafunzo ya computer katika chuo chochote
kinachotambuliwa na serikali na kupata cheti katika Programu za Windows,
Microsoft offfice, Internet , E-Mail na Publisher
Awe na umri usiopungua miaka 18 na usizidi miaka 40
Mshahara: Ngazi ya mshahara TGS B sawa na Tshs 345,0001= kwa mwezi
APPLICATION INSTRUCTIONS:

Masharti ya Jumla.-
(a) Barua za maombi ziambatane na taarifa binafsi (CV), nakala ya vyeti vya Elimu, taaluma na vyeti vya kuzaliwa, vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au wakili wa Serikali.
(b) Asiwe aliachalachishwalfukuzwa kazi kwenye utumishi wa umma
(c) Picha moja ya rangi (Passport size) kwa mawasiliano
(d) Walioajiriwa wapitishe barua zao kwa waajiri wao wa sasa.
(e) Barna zote ziandikwe kwa rrikono zenye anwani sahihi na namba za simu
(f) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17 Aprili,2015
(g) Maombi ya tumwe kwa anwani ifuatayo:-
Imetolewa na:-
MKURUGENZI MTENDAJI WA (W)
IlEJE
S.L.P 02
ILEJE

SIMU Na. 25-2570060
FAX Na. 25 -2570056