Header

Maafisa Watendaji wa Vijiji III - (x 5) - ILEJE

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje kuomba nafasi zifuatazo:-

Maafisa Watendaji wa Vijiji III - nafasi 5

Sifa:
Awe na Elimu ya kidato cha IV au VI
Awe na AstashahadaiCheti katika moja ya fani zifuatazo
Utawala wa sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya
Jamii na Sayansi ya sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo
Dodoma au chuo chochote kinachotambulika na Serikali.
Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi 40

Mshahara: Ngazi ya mshahara TGS B sawa na Tshs 345,0001= kwa mwezi


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Masharti ya Jumla.-
(a) Barua za maombi ziambatane na taarifa binafsi (CV), nakala ya vyeti vya Elimu, taaluma na vyeti vya kuzaliwa, vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au wakili wa Serikali.
(b) Asiwe aliachalachishwalfukuzwa kazi kwenye utumishi wa umma
(c) Picha moja ya rangi (Passport size) kwa mawasiliano
(d) Walioajiriwa wapitishe barua zao kwa waajiri wao wa sasa.
(e) Barna zote ziandikwe kwa rrikono zenye anwani sahihi na namba za simu
(f) Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17 Aprili,2015
(g) Maombi ya tumwe kwa anwani ifuatayo:-
Imetolewa na:-
MKURUGENZI MTENDAJI WA (W)
IlEJE
S.L.P 02
ILEJE

SIMU Na. 25-2570060
FAX Na. 25 -2570056