Msaidizi Wa Kumbukumbu II ( x 6)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAN
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA JIJI MBEYA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Kwa mujibu wa Kibali chenye Kumb. Na. CB.170/364/01/G/49 cha tarehe 11 Machi, 2015 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya anatangaza nafasi za kazi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi husika kama ifuatavyo
NAFASI: Msaidizi Wa Kumbukumbu II ( x 6)
Ngazi ya Mshahara
TGS B 345,000 X 9,300 Hadi 428,700/=)
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiliwa wahitimu wa Kidato cha Sita wenye Cheti cha utunzaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Masjala
MAJUKUMU
i. Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji
ii. Kudhibiti upokeaji uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka
iii. Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi
iv. Kuweka kumbukumbu(barua, nyaraka n.k.) katika mafaili
v. Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali
vi. Kuchambua na kutafsiri kumbukumbu kwa ajili ya mipango na huduma za Ofisi
vii. Kutunza, kudhibiti na kutoa kumbukumbu za Halmahsauri
viii. Kutunza, kudhibiti na kutoa kumbukumbu za Halmashauri
ix. Kuandaa fasihi (index) na nyezo nyingine za kurahisisha upatikani wa kumbukumbu na taarifa
x. Kutambua (identification) na kutafuta kumbukumbu/nyaraka katika masjala ya Halmashauri ya jiji
MASHARTI YA UJUMLA
• Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya Jiji la Mbeya
• Mwombaji awe na umri usiozidi miaka 45 na awe hajawahi kupatikana na kosa la jinai, kufukuzwa kazi, kuacha/kuachishwa kazi au kufungwa jela
• Maombo yote yaambatanishwe maelelzo na sifa binafsi zinanazojitosheleza (detail Curriculum vitae CVs) pamoja na namba ya simu ya mkononi
• Maombi yote yatumwe pamoja na nakala za vyeti vya taaluma, vyeti vya elimu (IV na VI) cheir cha kuzaliwa na picha mbili za rangi za hivi karibuni (Passport size) na iandikwe jina nyuma
• Testimonials”Provisional results” Statement of result” hati ya matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS HAVITAKUBALIWA)

APPLICATION INSTRUCTIONS:
Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kupitia anuani hii
MKURUGENZI WA JIJI
HALMASHAURI YA JIJI
S.L.P 149
MBEYA, au yaletwe katika Ofisi ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya na mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17/04/2015 saa 9 Alasiri

Post a Comment