Header

KUCHANGIA WAHANGA WA MAFURIKO DAR ES SALAAM

Naomba nichukue fursa hii kuwapa pole wote kwa namna moja au nyingine kutokana na maafa yaliyosababishwa na mvua hizi zinazoendelea katika jiji la Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi yetu.

Ni dhahiri kuwa waliothirika ni wengi na hivyo basi watakuwa na mahitaji muhimu ya dharura . Hivyo basi ni wakati wa kusaidiana na kufarijiana , pale unapoweza basi msaidie mwenzako aliyeathirika.

Naomba nichukue fursa hii kuwaomba wote wenye nia ya kuchangia waliothirika na maafa haya basi wawasiliane na Yona F Maro, +255786 806028 Kwa Airtel Money na +255767806028 kwa Mpesa . Michango inayopokelewa ni fedha taslimu au hundi, vifaa vya nyumbani, vyakula, vinywaji, nguo mpya na zilizotumika n.k.

Kwa walio Nje ya Nchi wasiliana Kwa Namba hizo unaweza Kuchangia kwa Western Union Au MoneyGram